# Boti ndogo ndogo za kuokolea maisha, Hizi ni botti au melindogo ambazo hutolewa nyuma ya meli kubwa . boti hizi huwekwa kwa ajili ya kujiokolea wakati meli inataka kuzama # Hamuwezi kuokoka isipokuwa hawa watu wanabaki kwenye meli. Maneno ya nayayo semwa kinyume yakimaanisha hakuna uwezekano wa kuokoka mpaka watu wabaki melini.