sw_tn/act/24/20.md

20 lines
611 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paul alimaliza kumjibu Gavana Feliki kuhusu mashtaka yaliyowasilishwa dhidi yake.
# wanaume hawahawa
Hii ina maana ya wajumbe wa baraza ambao walikuwepo Kaisaria katika kesi ya Paulo.
# lazima waseme kosa waliloliona kwangu
"waseme iwapo kuna kitu kibaya nilikifanya na kukithibitisha"
# Ni kuhusu ufufuo wa wafu
neno "ufufuo" linaweza kutumika kama "Kurudishwa katika maisha na Mungu." Na, neno "wafu" linaweza kuwa "wale waliokufa." "wakati Mungu akiwarudisha katika uhai wale wote waliokuwa wamekufa"
# Ninahukumiwa leo na wewe
hii inaweza semwa kama "mnanihukumu mimi leo hii"