sw_tn/act/23/28.md

16 lines
414 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nilitaka kujua neno
"mimi" inahusu Klaudio Lisia.
# alikuwa ameshitakiwa kwa ajili ya maswali ya sheria yao
Walikuwa wakumtuhumu kwa kumwuliza maswali.
# lakini kwamba kulikuwa hakuna tuhuma ambayo ingehitaji mauti ama kifungo.
Maneno "mauti" au "kifungo" yanaweza kuwa; hakukuwa na kitu kinyume cha mamlaka ya Kirumi cha kumwua ama kumtupa gerezani.
# Kisha ikajulikana kwangu
"Baadaye nilikuja kubaini"