# Nilitaka kujua neno "mimi" inahusu Klaudio Lisia. # alikuwa ameshitakiwa kwa ajili ya maswali ya sheria yao Walikuwa wakumtuhumu kwa kumwuliza maswali. # lakini kwamba kulikuwa hakuna tuhuma ambayo ingehitaji mauti ama kifungo. Maneno "mauti" au "kifungo" yanaweza kuwa; hakukuwa na kitu kinyume cha mamlaka ya Kirumi cha kumwua ama kumtupa gerezani. # Kisha ikajulikana kwangu "Baadaye nilikuja kubaini"