sw_tn/act/23/25.md

24 lines
732 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Jemedari mkuu anaandika barua kwa Gavana Feliki kuhusu kukamatwa kwa Paulo.
# Klaudio Lisia kwa Gavana mheshimiwa Felix, salamu
Hii ni njia rasmi ya mwanzo wa barua. Mkuu wa jeshi akimaanisha mwenyewe katika nafsi ya tatu. Nina andika kwa Klaudio Lisia, wewe mheshimiwa Liwali Feliki salamu kwako"
# Mheshimiwa Gavana Felix
Feliki alikuwa mtawala wa Kirumi aliyejitakia heshima kuu
# Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi
Hapa "Wayahudi" maana yake "baadhi ya Wayahudi." Hii inaweza ikasemwa: "Baadhi ya Wayahudi walimtia mbaroni mtu huyo"
# alikuwa karibu kuuawa
"walikuwa tayari kumwua Paulo
# nikaenda pamoja na kikosi cha askari
Nilikuwa pamoja na maaskari wangu pale Paulo alipokuwa pamoja na Wayahudi