# Taarifa ya jumla Jemedari mkuu anaandika barua kwa Gavana Feliki kuhusu kukamatwa kwa Paulo. # Klaudio Lisia kwa Gavana mheshimiwa Felix, salamu Hii ni njia rasmi ya mwanzo wa barua. Mkuu wa jeshi akimaanisha mwenyewe katika nafsi ya tatu. Nina andika kwa Klaudio Lisia, wewe mheshimiwa Liwali Feliki salamu kwako" # Mheshimiwa Gavana Felix Feliki alikuwa mtawala wa Kirumi aliyejitakia heshima kuu # Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi Hapa "Wayahudi" maana yake "baadhi ya Wayahudi." Hii inaweza ikasemwa: "Baadhi ya Wayahudi walimtia mbaroni mtu huyo" # alikuwa karibu kuuawa "walikuwa tayari kumwua Paulo # nikaenda pamoja na kikosi cha askari Nilikuwa pamoja na maaskari wangu pale Paulo alipokuwa pamoja na Wayahudi