sw_tn/act/23/22.md

24 lines
342 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Felix aliyekuwa mkazi wa Kaisaria alikuwa ni Gavana wa sehemu ya Rumi
# aliwaita kwake
"aliwaita yeye mwenyewe"
# maakida wawili
Maakida wake wawili
# wapanda farasi sabini
"Wapanda farasi 70"
# askari mia mbili wa mikuki
"Askari 200 ambao wanajilinda kwa mikuki"
# saa tatu usiku
Hii ilikuwa yapata 9:00 usiku.