sw_tn/act/22/27.md

24 lines
515 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Fungu hili linazungumzia habari za Paulo
# Jemedari mkuu akaja
Neno "kuja" linaweza kuwa na maana ya "kwenda"
# ilikuwa kiasi kikubwa cha pesa
"Ilikuwa baada ya kulipa kiasi kikubwa cha pesa katika mamlaka ya Kirumi"
# ndipo nilipata uraia.
"Nilijipatia uraia" au " Nilipewa uraia"
# Mimi ni Mrumi wa kuzaliwa
Baba akiwa raia wa Kirumi, hivyo watoto wake wanakuwa raia wa Kirumi mara wanapozaliwa
# wale waliokuwa tayari kwenda kumuuliza
Wanaume waliokuwa wamepanga kumwuliza maswali.