# Taarifa ya jumla Fungu hili linazungumzia habari za Paulo # Jemedari mkuu akaja Neno "kuja" linaweza kuwa na maana ya "kwenda" # ilikuwa kiasi kikubwa cha pesa "Ilikuwa baada ya kulipa kiasi kikubwa cha pesa katika mamlaka ya Kirumi" # ndipo nilipata uraia. "Nilijipatia uraia" au " Nilipewa uraia" # Mimi ni Mrumi wa kuzaliwa Baba akiwa raia wa Kirumi, hivyo watoto wake wanakuwa raia wa Kirumi mara wanapozaliwa # wale waliokuwa tayari kwenda kumuuliza Wanaume waliokuwa wamepanga kumwuliza maswali.