sw_tn/act/21/03.md

20 lines
582 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Neno 'sisi' linamhusu Luka, Paulo na wale waliokuwa wakisafiri pamoja nao.
# tukaiacha upande wa kushoto
"Tulikipita kisiwa upande wa kushoto"
# huko ndiko meli ilikuwa ipakuliwe shehena yake
Hapa "Meri" inasimama kwa nafasi ya watumishi waliokuwa wakisafiri na meri. Wafanyakazi hao wangeshusha mizigo kutoka merini.
# Wanafunzi hawa walimwambia Paulo kupitia Roho
"Waumini hawa walimwambia Paulo kile Roho Mtakatifu alikuwa amekidhihirisha kwao"
# kwamba yeye asikanyage Yerusalemu
Hapa "Miguu" linamaanisha Paulo mwenyewe asikanyage huko Yerusalemu.