# Taarifa ya jumla Neno 'sisi' linamhusu Luka, Paulo na wale waliokuwa wakisafiri pamoja nao. # tukaiacha upande wa kushoto "Tulikipita kisiwa upande wa kushoto" # huko ndiko meli ilikuwa ipakuliwe shehena yake Hapa "Meri" inasimama kwa nafasi ya watumishi waliokuwa wakisafiri na meri. Wafanyakazi hao wangeshusha mizigo kutoka merini. # Wanafunzi hawa walimwambia Paulo kupitia Roho "Waumini hawa walimwambia Paulo kile Roho Mtakatifu alikuwa amekidhihirisha kwao" # kwamba yeye asikanyage Yerusalemu Hapa "Miguu" linamaanisha Paulo mwenyewe asikanyage huko Yerusalemu.