sw_tn/act/20/17.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa unganishi
Paulo anawaita wazee wa kanisa la Efeso na kuanza kuzungumza nao.
# kutoka Mileto
Mileto ilikuwa ni mji wenye bandari Magharibi ya Asia ndogo karibu na chanzo cha mto Meander.
# Ninyi wenyewe
Paulo hapa anatumia msisitizo kwa kile anachowaambia.
# kuweka mguu katika Asia
aliingia mkoa huu wa Asia
# jinsi nilivyokuwa kwenu muda wote
Anazungumzia muda alioutumia akiwa kwao.
# kwa unyenyekevu wote
'Unyenyekevu' au 'kujishusha hadi chini'
# kwa machozi
"machozi" wakati mwingine alijisikia hali ya huzuni na kulia machozi.
# kwa Wayahudi
Hii haimaanishi kwa kila Myahudi. Anaelezea juu ya baadhi ya wale waliomtendea mabaya.
# Mwajua jinsi ambavyo sikujizuia kutangaza kwenu
" Mnajua jinsi ambavyo sikunyamaza, lakini kila mara niliwahutubia."
# kwenda nyumba kwa nyumba
Paulo alifundisha watu kwenye makazi yao binafsi yaani nyumba kwa nyumba.
# juu ya toba kwa Mungu na imani katika Bwana wetu Yesu
"toba" na "imani" ni maneno yanayoweza kutafsiriwa kwa vitenzi. Kwamba walipaswa kutubu mbele za Mungu na kuamini katika Bwana Yesu Kristo.