sw_tn/act/18/18.md

24 lines
584 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Huu ni mwendelezo wa safari ya kimisionari ya Paulo, pamoja na Priskila na Akwila waliondoka Korintho.
# Taarifa ya jumla
Kenkrea ulikuwa ni bandari katika sehemu ya mji mkuu wa Korintho.
# Ndugu
Neno "ndugu" linamaanisha wanaume na wanawake walioamini
# kwenda Syria kwa meli pamoja na Priskila na Akila
Paulo alipanda kwenye meli iliyokuwa inaenda Syria . Priskila na Akwila walienda pamoja naye.
# Alikuwa amenyoa kichwa chake
Hii ni alama ya mfano wa tendo lililodhihirisha nadhiri kamilifu.
# kujadiliana na
" kujadiliana pamoja" au "kujadiliana"