# Sentensi Unganishi Huu ni mwendelezo wa safari ya kimisionari ya Paulo, pamoja na Priskila na Akwila waliondoka Korintho. # Taarifa ya jumla Kenkrea ulikuwa ni bandari katika sehemu ya mji mkuu wa Korintho. # Ndugu Neno "ndugu" linamaanisha wanaume na wanawake walioamini # kwenda Syria kwa meli pamoja na Priskila na Akila Paulo alipanda kwenye meli iliyokuwa inaenda Syria . Priskila na Akwila walienda pamoja naye. # Alikuwa amenyoa kichwa chake Hii ni alama ya mfano wa tendo lililodhihirisha nadhiri kamilifu. # kujadiliana na " kujadiliana pamoja" au "kujadiliana"