sw_tn/act/16/25.md

16 lines
366 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii ni tukio lingine katika hadithi; inahusu Paulo na Sila gerezani na mlinzi wa gereza
# wakiwasikiliza wao
"Neno wao" linamaanisha Paulo na Sila, ambao walikuwa wakiomba na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu.
# na misingi ya gereza ikatikiswa
"ambayo ilitikisa misingi ya gereza"
# minyororo yao ikalegezwa
"minyororo yao waote ilifunguka"