sw_tn/act/13/35.md

44 lines
886 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hii ndiyo sababu kasema pia katika zaburi nyingine
Wasikilizaji wa Paulo wangeweza kufahamu kuwa Zaburi hii ilikuwa inamtaja Masihi.
# Anasema pia
"Daudi pia alisema." Daudi ni mwandishi wa Zaburi ya 16 ambapo nukuu hii imechukuliwa.
# 'Hautaruhusu mtakatifu wako kuuona uozo.'
Neno "kuona uozo" ni neno linalofanana na "kuharibika." Hutaruhusu mwili wa mtakatifu wako kuharibika."
# Hutaruhusu
Hapa Daudi anamwambia Mungu.
# Katika kizazi chake
"Katika kipindi cha uhai wake"
# kutumika katika nia ya Mungu
"alifanya kile alichomtaka Mungu kufanya"
# alilala,
Hii ilikuwa lugha laini iliyokwa inazungumzia kifo.
# alilazwa pamoja na baba zake
"Alizikwa pamoja na baba zake waliokuwa wamekufa"
# aliuona uaharibifu
"Kuona uharibifu" ni kusema kuwa "Mwili wake uliharibiwa"
# Lakini aliyefufuliwa
"Lakini Yesu ambaye"
# hakuuona uharibifu
"Yesu hakuona uharibifu"