sw_tn/act/12/07.md

24 lines
540 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tazama
Neno linaloashiria kuzingatia kwa taarifa za kushangaza zilizokuwa zinakwenda kutokea.
# Upande wake
"Anayefuata" au "Upande wake"
# Ndani chumbani
"ndani ya chumba cha gereza"
# Akampiga Petro ubavuni
"Malaika alimpiga ili kumwamsha Petro" Petro alikuwa na usingizi mzito kiasi kwamba ilikuwa inahitajika kuamshwa.
# minyororo aliyokuwa amefungwa ikafunguka
Malaika alisababisha minyororo kuanguka kutoka kwa Petro bila ya kuigusa.
# Petro akafanya hivyo
Petro alifanya kile aliagizwa kufanya na Malaika. Petro alitii.