# Tazama Neno linaloashiria kuzingatia kwa taarifa za kushangaza zilizokuwa zinakwenda kutokea. # Upande wake "Anayefuata" au "Upande wake" # Ndani chumbani "ndani ya chumba cha gereza" # Akampiga Petro ubavuni "Malaika alimpiga ili kumwamsha Petro" Petro alikuwa na usingizi mzito kiasi kwamba ilikuwa inahitajika kuamshwa. # minyororo aliyokuwa amefungwa ikafunguka Malaika alisababisha minyororo kuanguka kutoka kwa Petro bila ya kuigusa. # Petro akafanya hivyo Petro alifanya kile aliagizwa kufanya na Malaika. Petro alitii.