sw_tn/act/12/05.md

24 lines
628 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Petro akawekwa gerezani,
Inamaanisha Maaskari waliendelea kumlinda Petro ndani ya gereza.
# lakini maombi yakafanywa kwa bidii na kusanyiko kwa ajili yake
Kundi la waumini wa Yerusalemu kwa nia moja walimwomba Mungu kwa ajili yake.
# Kwa nia moja
"Walizidi kujikabidhi" au "Kwa nia moja bila kukatisha maombi"
# Herode alikuwa anatarajia kumtoa nje
Herode alikuwa amepanga kumtoa Petro nje ya gereza ili kumhukumu.
# amefungwa na minyororo miwili,
"alifungwa kwa minyororo miwili". Kila mnyororo ulikuwa umeunganishwa kwa walinzi wawili walioketi karibu na Petro.
# Wakilinda gereza.
"Wakifanya kazi yao ya ulinzi"