sw_tn/act/11/27.md

32 lines
670 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Luka anaelezea historia kuhusu unabii huko Antiokia.
# Sasa
Neno hili linatumika kuweka kituo katika simlizi hiyo kuu.
# manabii wakashuka kutoka Yerusalemu mpaka Antiokia
Yerusalemu ilikuwa juu zaidi ya Antiokia, hivyo ilikues kawaida ya Waisraeli kusema wanapanda kwenda Yerusalemu
# Agabo ndilo jina lake
"Jina lake alikuwa akiitwa Agabo
# akiashiriwa na Roho
"Roho Mtakatifu alimwezesha kutoa unabii"
# njaa kali itatokea
"Upungufu mkubwa wa chakula utatokea"
# Juu ya dunia yote
Akimaanisha, "Katika dola yote ya Kirumi"
# wakati wa siku za Klaudio.
Wasikilizaji wa Luka wangejua kwamba Klaudio alikuwa Mtawala wa Rumi wakati huo.