sw_tn/act/11/19.md

28 lines
858 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Luka anaelezea kuhusu kile kilichotokea kwa waumini waliokimbia baada ya kuuawa kwa Stefano kwa mawe.
# Sasa
Luka anatambulisha simlizi mpya
# waamini ambao mateso yalianzia kwenye kifo cha Stephano walitawanyika kutoka Yerusalemu-waamini hawa walienda mbali,
Mateso yaliyoanza na kifo cha Stefano yalisababisha waumini kukimbia na kusambaa maeneo mbalimbali.
# Wayahudi peke yake
Waumini walidhani ujumbe wa Mungu ulikuwa kwa ajili ya Wayahudi pekee na siyo kwa wamataifa pia.
# na kusema na wayunani
Watu aliokuwa wakiongea kiyunana nao walikuwa ni watu wa mataifa hawakuwa Wayahudi.
# Na mkono wa Bwana ulikuwa pamoja nao
Mkono wa Mungu unamaanisha nguvu zake. "Mungu alikuwa na nguvu kuwawezesha wale waumini kuhubiri kwa ujasiri".
# na kumgeukia Bwana
Wengi waliacha kuiamini miungu yao ya zamani, na walimwamini Yesu.