sw_tn/act/11/17.md

20 lines
566 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Petro anamalizia hotuba yake aliyokuwa ameianza katika sura 11:4 kwa Wayahudi juu ya maono yaliyotokea katika nyumba ya Korinerio.
# Pia kama Mungu ametoa zawadi... mimi ni nani, kwamba naweza kumpinga Mungu?
Petro anatumia swali hilikueleza kuwa yeye alikuwa anafanya vile kwa kumtii Mungu.
# Zawadi sawa
Petro anaelezea zawadi ya Roho Mtakatifu.
# Waliposikia mambo haya, hawakurudisha,
"Walinyamaza, hawakuweza tena kumshambulia Petro.
# Mungu ametoa toba kwa ajili ya uzima.
"Ametoa toba kwa wote kuwaongoza katika uzima wa milele"