sw_tn/act/11/11.md

40 lines
656 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tazama
Hili neno linaashiria kuanza kutajwa watu wengine kwenye simlizi hii.
# Mara moja
"Mara hiyo bila kuchelewa"
# Walikuwa wametumwa
"Mtu fulani alikuwa amewatuma"
# na nisitofautiane nao.
"Kwamba nisipate cha kunitofautisha nao kwamba walikuwa wamataifa"
# Hawa wanaume sita wakaenda pamoja na mimi
anaume sita wakaenda nami mpaka Kaisaria.
# Hawa ndugu sita
"Hawa sita Wayahudi waumini"
# Ndani ya nyumba ya mtu mmoja
Linaelezea nyumba ya Kornerio
# Simoni aliyeitwa Petro
"Simoni ambaye pia aliitwa Petro"
# utaokoka
Inaweza kuwa "Mungu atakuokoa"
# Na wote wa nyumba yako
Linamaanisha; Wote wataokolewa walioko nyumbani mwako"