# Tazama Hili neno linaashiria kuanza kutajwa watu wengine kwenye simlizi hii. # Mara moja "Mara hiyo bila kuchelewa" # Walikuwa wametumwa "Mtu fulani alikuwa amewatuma" # na nisitofautiane nao. "Kwamba nisipate cha kunitofautisha nao kwamba walikuwa wamataifa" # Hawa wanaume sita wakaenda pamoja na mimi anaume sita wakaenda nami mpaka Kaisaria. # Hawa ndugu sita "Hawa sita Wayahudi waumini" # Ndani ya nyumba ya mtu mmoja Linaelezea nyumba ya Kornerio # Simoni aliyeitwa Petro "Simoni ambaye pia aliitwa Petro" # utaokoka Inaweza kuwa "Mungu atakuokoa" # Na wote wa nyumba yako Linamaanisha; Wote wataokolewa walioko nyumbani mwako"