sw_tn/act/10/44.md

24 lines
642 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Roho Mtakatifu akawajaza wote
Neno "Kuwajaza" maana yake ni kutokea ghafla. "Roho Mtakatifu ghafla alishuka".
# wote waliokuwa wakisikiliza
Neno "wote" linaelezea kuwa; "Wamataifa ndani ya nyumba waliokuwa wakimsikiliza Petro".
# Watu wale wanaohusika na kikundi cha waamini waliotahiriwa
Hii ni namna nyingine ya kuzungumzia juu ya Waumini Wayahudi
# Karama ya Roho Mtakatifu
Inaelezea juu ya Roho Mtakatifu mwenyewe aliyetolewa kwao.
# Roho Mtakatifu aliyemwagwa
Mungu alimtoa Roho Mtakatifu. "Zawadi ya bure"
# Pia na kwa mataifa
Neno "pia" linaonyesha ukweli kuwa Roho Mtakatifu alikuwa tayari ametolewa kwa Wayahudi waumini