# Roho Mtakatifu akawajaza wote Neno "Kuwajaza" maana yake ni kutokea ghafla. "Roho Mtakatifu ghafla alishuka". # wote waliokuwa wakisikiliza Neno "wote" linaelezea kuwa; "Wamataifa ndani ya nyumba waliokuwa wakimsikiliza Petro". # Watu wale wanaohusika na kikundi cha waamini waliotahiriwa Hii ni namna nyingine ya kuzungumzia juu ya Waumini Wayahudi # Karama ya Roho Mtakatifu Inaelezea juu ya Roho Mtakatifu mwenyewe aliyetolewa kwao. # Roho Mtakatifu aliyemwagwa Mungu alimtoa Roho Mtakatifu. "Zawadi ya bure" # Pia na kwa mataifa Neno "pia" linaonyesha ukweli kuwa Roho Mtakatifu alikuwa tayari ametolewa kwa Wayahudi waumini