forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
599 B
Markdown
16 lines
599 B
Markdown
|
# Baada ya Malaika aliyekuwa akisema naye kuondoka
|
||
|
|
||
|
"Baada ya maono ya Kornelio kufika mwisho"
|
||
|
|
||
|
# Askari aliyekuwa akimwabudu Mungu kutoka miongoni mwa maaskari waliokuwa wakimtumikia.
|
||
|
|
||
|
Moja ya maaskari waliokuwa wakimtumikia Kornelio ambao pia walikuwa wakimwabudu Mungu. Ilikuwa mara chache sana jeshi la kirumi, ambapo Kornerio na maaskari wengine kumcha Mungu, alihali wenginge hawamchi Mungu.
|
||
|
|
||
|
# aliwaambia yote yaliyotokea
|
||
|
|
||
|
Kornerio alielezea maono yake kwa watumishi wake wawili na kwa mmoja wa maaskari wake.
|
||
|
|
||
|
# akawatuma Yafa
|
||
|
|
||
|
"aliwatuma wawili wa watumishi wake na askari mmoja huko Yafa"
|