sw_tn/act/09/38.md

20 lines
407 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Waliwatuma watu wawili kwake
"Wanafunzi waliwatuma watu wawili kwake"
# Katika chumba cha juu
Chumba cha juu mahali mwili wa Dorkas ulikuwa umelazwa.
# Wajane wote
Inawezekana kuwa wajane wote wa mji ule walikusanyika pamoja kwani haukuwa mji mkubwa.
# Wajane
wanawake ambao waume zao walifariki na walikuwa wanahitaji kusaidiwa.
# Wakati akiwa pamoja nao
"wakati akiwa hai pamoja na wanafunzi"