# Waliwatuma watu wawili kwake "Wanafunzi waliwatuma watu wawili kwake" # Katika chumba cha juu Chumba cha juu mahali mwili wa Dorkas ulikuwa umelazwa. # Wajane wote Inawezekana kuwa wajane wote wa mji ule walikusanyika pamoja kwani haukuwa mji mkubwa. # Wajane wanawake ambao waume zao walifariki na walikuwa wanahitaji kusaidiwa. # Wakati akiwa pamoja nao "wakati akiwa hai pamoja na wanafunzi"