sw_tn/act/09/10.md

32 lines
716 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Simulizi inabadilika na kuanza kumtaja mtu aliyeitwa Anania ambae anatambulishwa kwenye simulizi. Huyu sio Anania yule aliyetajwa katika matendo ya mitume 5:1, 3.
# Basi palikuwa
Hii inatambulisha wahusika wapya, Anania
# Naye alisema
Anania alisema
# Inuka uenda zako katika mtaa uitwao Nyofu
Nenda kwenye barabara inayoitwa nyoofu.
# Katika nyumba ya Yuda
Yuda si yule mwanafunzi aliyemsaliti Yesu. Yuda alikuwa ndio mmiliki wa nyumba uko Dameski ambapo Anania alikuwa akiishi.
# Mtu wa Tarso aitwaye Sauli
"Mtu kutoka katika mji wa Tarso"
# kumwekea mikono juu yake
Hii ilikuwa alama ya kumpatia Sauli baraka za kiroho.
# Kwamba apate kuona
"Aweze kuona kwa mara nyingine tena"