sw_tn/act/08/25.md

16 lines
365 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hapa ni hitimisho la simulizi kuhusu Simoni na wasamaria.
# Ushuhuda wa kuzaliwa
Petro na Yohana waliwaeleza wasamaria juu ya wao walivyomfahamu Yesu.
# Kunena maneno ya Bwana
Petro na Yohana walielezea juu ya maandiko ambayo Yesu alizungumza kwa wasamaria.
# Katika vijiji vingi vya wasamaria
Kwa watu wengi katika vijiji vya Samaria.