# Sentensi unganishi Hapa ni hitimisho la simulizi kuhusu Simoni na wasamaria. # Ushuhuda wa kuzaliwa Petro na Yohana waliwaeleza wasamaria juu ya wao walivyomfahamu Yesu. # Kunena maneno ya Bwana Petro na Yohana walielezea juu ya maandiko ambayo Yesu alizungumza kwa wasamaria. # Katika vijiji vingi vya wasamaria Kwa watu wengi katika vijiji vya Samaria.