sw_tn/act/07/31.md

16 lines
511 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# alishangaa na kustaajabia kile alichokiona
Musa alishangaa kwamba kichaka hakiungui moto. Hii ilijulikana na watazamaji wa Stefano.
# Aliposogelea kwenda kutazama ....Musa alitetemeka na hakuthubutu kuangalia
Hii inamaanisha Musa alikisogelea kichaka kwa karibu ili kuchunguza kilichokuwa kinatokea, lakini ghafla akarudi nyuma kwa hofu aliposikia sauti ikitoka ndani ya kichaka.
# Mimi ni Mungu wa baba zako
"Mimi ni Mungu ambaye baba zako waliniabudu"
# Musa alitetemeka
Musa alitetemeka kwa hofu.