sw_tn/act/06/08.md

24 lines
712 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Huu ni mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi.
# Maelezo ya jumla
Mistari hii inatupa maelezo ambayo Stefano na watu wengine hali ilivyoendelea kuwa.
# Na Stefano
Luka anamwelezea Stefano kama kinara wa sehemu ya simulizi hii.
# Stefano, aliyejaa neema na nguvu, alikuwa akifanya
Neno "Neema" na "Nguvu" yanaelezea nguvu kutoka kwa Mungu. Yaani Mungu alikuwa akimpa nguvu Stefano za kutenda.
# Sinagogi la Mahuru
"Mahuru" walikuwa yumkini watumwa huru kutoka sehemu hizi tofautitofauti. Haijulikani kama watu wengine walioorodheshwa walikuwa sehemu ya Sinagogi au walishiriki tu katika mdahalo na Stefano.
# Kufanya mdahalo na Stefano
"kubishana na Stefano" au "kujadiliana na Stefano"