# Sentensi unganishi Huu ni mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi. # Maelezo ya jumla Mistari hii inatupa maelezo ambayo Stefano na watu wengine hali ilivyoendelea kuwa. # Na Stefano Luka anamwelezea Stefano kama kinara wa sehemu ya simulizi hii. # Stefano, aliyejaa neema na nguvu, alikuwa akifanya Neno "Neema" na "Nguvu" yanaelezea nguvu kutoka kwa Mungu. Yaani Mungu alikuwa akimpa nguvu Stefano za kutenda. # Sinagogi la Mahuru "Mahuru" walikuwa yumkini watumwa huru kutoka sehemu hizi tofautitofauti. Haijulikani kama watu wengine walioorodheshwa walikuwa sehemu ya Sinagogi au walishiriki tu katika mdahalo na Stefano. # Kufanya mdahalo na Stefano "kubishana na Stefano" au "kujadiliana na Stefano"