sw_tn/act/05/40.md

20 lines
680 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kisha, waliwaita mitume ndani na kuwachapa
Wajumbe wa baraza waliwaamru walinzi wa hekalu kuwachapa viboko mitume.
# kuwaamuru wasinene kwa jina la Yesu
Wasinene tena juu ya jina la Yesu lenye mamlaka.
# wamehesabiwa kuwa wamestahili kuteseka na kutoheshimiwa kwa ajili ya Jina hilo
Ilikuwa ni faida kuteswa na kudharauliwa kwa ajili ya Yesu.
# Baada ya hapo kila siku
"Baada ya siku hiyo, kila siku." Kifungu hiki kinaonyesha kile walichokifanya mitume kila siku kwa siku zilizofuata. Walitiwa moyo kufanya hili kwasababu ya kile kilichotokea katika tukio hilo la kuadhibiwa kwao.
# Waliendelea kufundisha
"Hawakuacha kufundisha" Hekaluni na katika nyumba za waumini.