sw_tn/act/04/27.md

16 lines
276 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Waumini wanaendelea na maombi.
# Katika mji huu
"Katika Yerusalemu"
# mtumishi wako mtakatifu Yesu
"Yesu anayekutumikia kwa uaminifu"
# kufanya yote ambayo mkono wako na mapenzi yako yaliyaamuru
Neno "Mkono" limetumika kwa maana ya nguvu za Mungu.