sw_tn/act/04/19.md

12 lines
334 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Neno "sisi" linaelezea Petro na Yohana, lakini si kwa wale ambao waliokuwa wakiwaelezea.
# Kama ni sahihi machoni pa Mungu
Neno "machoni pa Mungu" linamaanisha maoni ya Mungu. Kama Mungu anafikiri ni sawa kuwatii watu kuliko Mungu.
# hatuwezi kuacha kuyanena
"Lazima tutaendelea kunena" au "Hatutaacha kunena"