# Maelezo ya jumla Neno "sisi" linaelezea Petro na Yohana, lakini si kwa wale ambao waliokuwa wakiwaelezea. # Kama ni sahihi machoni pa Mungu Neno "machoni pa Mungu" linamaanisha maoni ya Mungu. Kama Mungu anafikiri ni sawa kuwatii watu kuliko Mungu. # hatuwezi kuacha kuyanena "Lazima tutaendelea kunena" au "Hatutaacha kunena"