sw_tn/act/02/37.md

24 lines
425 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Wayahudi wanaitikia hotuba ya Petro na Petro anawajibu.
# waliposikia hivyo
"wakati watu waliposikia Petro akisema"
# wakachomwa katika mioyo yao
"Maneno ya Petro yaliwachoma mioyo yao" au "kusikia hatia moyoni na kujawa na huzuni"
# kubatizwa
"Turuhusu tupate kubatizwa"
# Ni ahadi kwaajili yako
"Ahadi ni kwaajili yako"
# wale wote walioko mbali
"WAtu wote waliombali na Mungu mioyoni mwao.