# Sentensi unganishi Wayahudi wanaitikia hotuba ya Petro na Petro anawajibu. # waliposikia hivyo "wakati watu waliposikia Petro akisema" # wakachomwa katika mioyo yao "Maneno ya Petro yaliwachoma mioyo yao" au "kusikia hatia moyoni na kujawa na huzuni" # kubatizwa "Turuhusu tupate kubatizwa" # Ni ahadi kwaajili yako "Ahadi ni kwaajili yako" # wale wote walioko mbali "WAtu wote waliombali na Mungu mioyoni mwao.