sw_tn/act/02/34.md

16 lines
458 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Petro anamaliza hotuba yake kwa Wayahudi aliyoianza
# Maelezo ya jumla
Petro tena ananukuu moja ya Zaburi za Daudi. Daudi hazungumzi kwa nafsi yake mwenyewe katika zaburi hii bali anazungumzia juu ya Yasu Masihi.
# mpaka nitakapowafanya adui zako kigoda kwa ajili ya miguu yako
Inamaanisha Mungu atafanya ushindi mkamilifu wa maadui wa Masihi na kuwaweka chini yake.
# nyumba yote ya Israeli
Inamaanisha taifa zima la Israeli.