# Sentensi unganishi Petro anamaliza hotuba yake kwa Wayahudi aliyoianza # Maelezo ya jumla Petro tena ananukuu moja ya Zaburi za Daudi. Daudi hazungumzi kwa nafsi yake mwenyewe katika zaburi hii bali anazungumzia juu ya Yasu Masihi. # mpaka nitakapowafanya adui zako kigoda kwa ajili ya miguu yako Inamaanisha Mungu atafanya ushindi mkamilifu wa maadui wa Masihi na kuwaweka chini yake. # nyumba yote ya Israeli Inamaanisha taifa zima la Israeli.