sw_tn/3jn/01/11.md

40 lines
863 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Hapa neno "sisi" linaelezea kuhusu Yohana na wale waliokuwa pamoja naye bila kumjumuisha Gayo.
# Mpendwa
Hapa inatumika kama neno la utambulisho kwa wafuasi waumini.
# usiige kilicho kibaya
"Usifuatishe mambo maovu ambayo watu wanayatenda"
# bali iga kilicho chema
"Fuatisha mambo mema ambayo watu wanayatenda"
# ni wa Mungu
"Yanatokana na Mungu"
# hajamwona Mungu
eye si mali ya Mungu" au "Hajamwamini Mungu"
# Demetrio ameshuhudiwa na wote
Wote ambao wanamfahamu Demetrio wanamshuhudia" au "Kila mwumini anayemjua Demetrio ananema mema kumhusu yeye"
# Demetrio
Huyu yawezekana kuwa ni mtu ambaye Yohana anamtaka Gayo na kusanyiko lote kumkaribisha wakati wa ziara yake.
# na kweli yenyewe
"Kweli yenyewe pekee inanena ukweli juu yake, kwamba ni mtu mwema"
# sisi pia ni mashahidi
"Sisi pia tunanena mema yahusuyo Demetrio"