sw_tn/2ti/04/14.md

32 lines
682 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# alinitendea maovu mengi
"alitenda maovu dhizi yangu" au "alinitendea mambo mabaya "
# Bwana atamlipa kulingana na matendo yake
"Bwana atamuadhibu kutokana na aliyoyafanya"
# yeye, yake
Yote haya yanamaanisha Alexanda
# yeye alilipinga sana line neno letu
"Alipinga kwa jitihada kubwa ujumbe wetu" au "yeye alipinga sana maneno yetu"
# hakuna mtu yeyote aliyesimama nami, badala yake wote waliniacha
"hakuna aliyekaa na mimi na kunisaidia, badala yake , kila mmoja aliondoka"
# Tendo hilo lisihesabiwe dhidi yao
"mimi sitaki Mungu awaadhibu wale waumini kwa kuniacha mimi"
# Alekizanda
Hili ni jina la mwanaume.
# Mfua vyuma
"anayefanya kazi ya kutengeneza vyuma"