# alinitendea maovu mengi "alitenda maovu dhizi yangu" au "alinitendea mambo mabaya " # Bwana atamlipa kulingana na matendo yake "Bwana atamuadhibu kutokana na aliyoyafanya" # yeye, yake Yote haya yanamaanisha Alexanda # yeye alilipinga sana line neno letu "Alipinga kwa jitihada kubwa ujumbe wetu" au "yeye alipinga sana maneno yetu" # hakuna mtu yeyote aliyesimama nami, badala yake wote waliniacha "hakuna aliyekaa na mimi na kunisaidia, badala yake , kila mmoja aliondoka" # Tendo hilo lisihesabiwe dhidi yao "mimi sitaki Mungu awaadhibu wale waumini kwa kuniacha mimi" # Alekizanda Hili ni jina la mwanaume. # Mfua vyuma "anayefanya kazi ya kutengeneza vyuma"