sw_tn/2th/02/03.md

28 lines
686 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Paulo anafundisha kuhusu mtu wa uasi.
# haitakuja
"siku ya Bwana haitakuja"
# anguko
hii inamaanisha wakati ujao ambao watu wengi watampa Mungu kisogo.
# na mwana wa uasi amefuniuliwa
Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: na Mungu anamfunua mtu wa uasi
# mwana wa uaharibifu
Paulo anaongea uharibifu kama mtu alizaa mwana ambaye lengo lake ni kuharibu kila kitu. AT: "yeye aharibuye kila kitu anachoweza"
# vyote vinavyoitwa Mungu au vivavyoabudiwa
Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: "kila kitu ambacho watu hukifanya kuwa Mungu au kila kitu ambacho watu huabudu"
# anajiinua mwenyewe kama Mungu
"anajionyesha mwenyewe kama Mungu"