sw_tn/2th/01/11.md

24 lines
730 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Pia tunaendelea kuomba kwa ajili yenu
Paulo anasisitiza jinsi anavyoomba mara nyingi kwa ajili yao. AT: Pia mara kwa mara tunaomba kwa ajili yenu.
# kuita
Neno "kuita" lina maanisha Mungu anateua au anachagua watu kuwa watoto wake, kuwa watumishi wake na wahubiri wa ujumbe wa wokovu kwa njia ya Yesu.
# kutimiza kila haja ya wema
"awawezeshe kufanya mema kwa kila namna mnavyo tamani" (UDB)
# ili kwamba mpate kulitukuza jina la Bwana wetu Yesu
Hili linaweza kuelelezewa katika muundo tendaji. AT: "ili kwamba mweze kulitukuza jina la Bwana wetu Yesu"
# Ili mtukuzwa na yeye
Hili linaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: "Yesu atawatukuza ninyi"
# kwa sababu ya neema ya Mungu wetu
kwa sababu ya neema ya Mungu"