# Pia tunaendelea kuomba kwa ajili yenu Paulo anasisitiza jinsi anavyoomba mara nyingi kwa ajili yao. AT: Pia mara kwa mara tunaomba kwa ajili yenu. # kuita Neno "kuita" lina maanisha Mungu anateua au anachagua watu kuwa watoto wake, kuwa watumishi wake na wahubiri wa ujumbe wa wokovu kwa njia ya Yesu. # kutimiza kila haja ya wema "awawezeshe kufanya mema kwa kila namna mnavyo tamani" (UDB) # ili kwamba mpate kulitukuza jina la Bwana wetu Yesu Hili linaweza kuelelezewa katika muundo tendaji. AT: "ili kwamba mweze kulitukuza jina la Bwana wetu Yesu" # Ili mtukuzwa na yeye Hili linaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: "Yesu atawatukuza ninyi" # kwa sababu ya neema ya Mungu wetu kwa sababu ya neema ya Mungu"