forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
574 B
Markdown
20 lines
574 B
Markdown
|
# Sentensi Unganishi:
|
||
|
|
||
|
Paulo anapoendelea, anaoongea kuhusu Mungu kuwa mwenye haki.
|
||
|
|
||
|
# ni haki kwa Mungu
|
||
|
|
||
|
"Mungu yuko sahihi" au "Mungu ni wa haki"
|
||
|
|
||
|
# na raha kwenu
|
||
|
|
||
|
Unaweza kuifafanua kwamba Mungu ndiye arudishae raha. AT:" na kwamba Mungu arudishe raha kwenu."
|
||
|
|
||
|
# malaika wa nguvu zake
|
||
|
|
||
|
"Malaika wa Mungu wenye nguvu"
|
||
|
|
||
|
# Katika mwali wa moto atalipiza kisasi kwa wale wasiomjua Mungu na wale
|
||
|
|
||
|
"Bwana Yesu atawaadhibu kwa mwali wa moto wale wasiomjua Mungu na wale" au "Kisha kwa mwali wa moto atawaadhibu wale wote wasiomjua Mungu na wote ambao hawamtii Bwana Yesu" (UDB)
|